Tunajikita zaidi kwenye mchezo wa mpira wa miguu,ambao ndiyo mchezo wa kwanza kuwa na mashabiki wengi duniani kote,pia ni mchezo ambao unatoa burudani kubwa na kuonga mioyo ya mashabiki wa mchezo huo